message
Contact AjiraExpress
CONTACT AJIRAEXPRESS

Wasiliana Nasi

Una maswali, unahitaji msaada au maelezo zaidi kuhusu huduma zetu? Timu yetu ya huduma kwa wateja iko tayari kukusaidia. Wasiliana nasi kupitia simu, WhatsApp, barua pepe au mitandao yetu ya kijamii, na tutakujibu kwa haraka iwezekanavyo.

Taarifa ya Eneo la Ofisi

Kwa sasa tumehama kutoka ofisi zetu za zamani zilizokuwa Ipagala West, karibu na Ofisi za UN, Dodoma, Tanzania.

Tunaendelea na mchakato wa kuhamishia ofisi yetu Dar es Salaam na maandalizi ya kufungua kituo chetu kipya cha huduma yanaendelea.

Tutatoa taarifa rasmi kuhusu eneo na anuani kamili ya ofisi mpya mara baada ya maandalizi kukamilika.

Huduma Zinaendelea Kupatikana Mtandaoni

Kwa kipindi hiki, huduma zote za AjiraExpress zinaendelea kupatikana mtandaoni (Online), ikiwemo usajili, kutuma maombi ya kazi, usahili (interview), kupata taarifa za ajira na msaada kutoka kwa timu yetu ya huduma kwa wateja.

Email

tumaapplication@gmail.com

WhatsApp

0760193802

Call Us

0760193802

Send Us Message
Shukrani

Tunashukuru kwa kuendelea kutuamini. Tupo tayari kukuhudumia kupitia njia zetu rasmi za mawasiliano.